← Rudi kwenye Huduma
TOA PESA
Toa Pesa 1xBet kupitia Air Romano
Fuata hatua hizi kupata 1xCash code, kisha tutumie screenshot ya code pamoja na maelezo ya malipo yako.
🏧
Air RomanoKituo cha Malipo
💰
Uliza Address →Kiasi kikubwa?
Kwa kiasi zaidi ya Tsh 300,000, uliza kwa mtoa huduma address ya kutolea kabla ya kuendelea.
1
HATUA YA KWANZA
Tengeneza Withdraw kwenye 1xBet
- Nenda sehemu ya Withdraw kwenye akaunti yako.
- Chagua 1xCash.
- Jaza kiasi unachotaka kutoa.
- Chagua address: City: Dar es Salaam (Tanzania).
- Kwenye Street weka: Kwa Mringo, Profesa Romano 24/7.
2
UTHIBITISHO
Pata 1xCash Code
- Code za uthibitisho zitatumwa kwenye simu yako.
- Jaza code hizo kisha fanya Confirm.
- Muamala utaonekana upande wa kulia ukiwa Approved.
- Subiri takriban sekunde 10–30 hadi sehemu ya Get Code ionekane.
- Bonyeza Get Code, kisha piga screenshot.
3
TUMA KWETU
Tuma screenshot na maelezo ya malipo
Tutumie screenshot ya 1xCash code, kisha acha:
📱 Namba ya simu👤 Jina la kupokea fedha💵 Kiasi
Tunalipa kupitia mitandao ya simu na benki mbalimbali Tanzania.
Tuma Withdraw WhatsApp →Kumbuka kuhusu address
Kwa kiasi chini ya laki 3, tumia address iliyo hapo juu. Kwa kiasi zaidi ya laki 3 kuendelea, andika kiasi kamili unachotaka kutoa kwa mtoa huduma wetu WhatsApp ili upewe address sahihi kabla ya kufanya withdraw.